Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT.HUSSEIN MWINYI ATOA MKONO WA POLE.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) leo amefika Nyumbani kwa Mfanyakazi wake kutoa mkono wa pole baada ya kifo cha Baba Mzazi wa Mfanyakazi huyo huko nyumbani kwao Dole,Ndunduke Wilaya ya Magharibi"A" Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 08/Julai 2022.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akisalimiana na wanafamilia wa Marehemu Bw.Mohamed Ali Juma mume wa Mbunge wa Jimbo la Bububu Mhe.Mwantakaje Haji Juma alipofika Nyumbani kwao Bububu Kijichi Wilaya ya Magharibi"A" Mkoa wa Mjini Magharibi kutoa mkono wa pole.[Picha na Ikulu] 08/Julai 2022.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipofika Nyumbani kwa Mbunge wa Jimbo la Bububu Mhe.Mwantakaje Haji Juma (wa pili kulia) leo kutoa Mkono wa pole baada ya kufiliwa na mume wake Marehemu Mohamed Ali Juma, Kijichi Wilaya ya Magharibi"A" Mkoa wa Mjini Magharibi .[Picha na Ikulu] 08/Julai 2022.

Post a Comment

0 Comments