Ticker

6/recent/ticker-posts

SAKHO ABEBA TUZO GOLI BORA CAF


Mchezaji wa timu ya Simba Msenegal Pape Othman Sakho akiwa katika picha ya pamoja na mkongwe wa soka la Afrika J. J. Okocha huku akiwa ameshikilia kiatu chake Cha dhahabu baada ya kushinda tuzo ya goli mora la Afrika ambalo aliifungia timu yake kwenye uwanja wa Mkapa jijini Dar es salaam wakati Simba ilipokutana na timu ya Asec Mimosas ya Ivory Coast katika michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika inayoandaliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika CAF.

Akizungumza wakati akishukuru katika hafla hiyo mara baada ya kupokea tuzo yake Pape Othman Sakho amesema Kwa kimombo " "Thank you Tanzania people's , Thank you Simba fan's and all players" Amemaliza Sakho

Post a Comment

0 Comments