Ticker

6/recent/ticker-posts

YANGA SC YALAMBA BILIONI 12 SPORTPESARasmi Kampuni ya Kubashiri ya SportPesa imesaini mkataba wa Kihistoria na Young Africans SC wa Miaka Mitatu wenye thamani ya Sh. BIllion 12.335 kama mdhamini mkuu.

Yanga Sc imesaini mkataba huo mara baada ya mkataba wa awali kumalizika.

Fedha hizo Yanga Sc itakuwa inalamba Bilioni 4 kwa kila mwaka .

Post a Comment

0 Comments