Ticker

6/recent/ticker-posts

MANDONGA ATUMIA DAKIKA 1 KUMCHAPA MUSA OMARY KWENYE TAMASHA LA SENSABIKA

Bondia maarufu nchini Mandonga ametumia dakika 1 na sekunde 56 kumchakaza mpinzani wake Musa Omary usiku huu katika viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam kwenye kilele cha Tamasha la kihistoria la Sensabika.

Post a Comment

0 Comments