Ticker

6/recent/ticker-posts

MNADHIMU MKUU WA JWTZ AJITAMBULISHA KWA RAIS DK.HUSSEIN ALI MWINYI.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Mnadhimu Mkuu wa JWTZ (Chief of Stuff) Luteni Generali Salum Haji Othman,alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kujitambulisha leo akiwa na ujumbe aliofuatana nao .[Picha na Ikulu] 01/08/2022.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Mnadhimu Mkuu wa JWTZ (Chief of Stuff) Luteni Generali Salum Haji Othman,alipofika kujitambulisha leo akiwa na ujumbe aliofuatana nao Ikulu Jijini Zanzibar .[Picha na Ikulu] 01/08/2022.

Post a Comment

0 Comments