Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT.HUSSEIN MWINYI AZUNGUMZA NA SHEIKH GURUDEV SRI SRI KUTOKA BANGALORE NCHINI INDIA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Sheikh.Gurudev Sri Sri Ravishankar, (kulia kwa Rais) kutoka Bangalore Nchini India alipofika Ikulu kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 26-8-2022 na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Sheikh.Gurudev Sri Sri Ravishankar (kulia kwa Rais) kutoka Bangalore Nchini India akiwa na Ujumbe wake, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 26-8-2022.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments