Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MAKAMU WA RAIS MTENDAJI WA KAMPUNI YA EQUINOR BW. AL COOK

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Makamu wa Rais Mtendaji wa Kampuni ya Equinor inayoshughulikia utafiti na uzalishaji wa Mafuta na Gesi Kimataifa Bw. Al Cook mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 24 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Makamu wa Rais Mtendaji wa Kampuni ya Equinor inayoshughulikia utafiti na uzalishaji wa Mafuta na Gesi Kimataifa Bw. Al Cook mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 24 Agosti, 2022.

Post a Comment

0 Comments