Ticker

6/recent/ticker-posts

MAKAMU WA RAIS AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI BUTIMBA MWANZA


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akisalimiana na viongozi mbalimbali wakati alipowasili kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Chanzo cha Maji na Kituo cha Tiba ya Maji cha Butimba uliopo Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza leo tarehe 14 Septemba 2022.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Chanzo cha Maji na Kituo cha Tiba ya Maji cha Butimba uliopo Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza leo tarehe 14 Septemba 2022. Kulia ni Waziri wa Maji Jumaa Aweso , Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Adam Malima na Waziri wa Ardhi Dkt. Angelina Mabula.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akikagua maendeleo ya Ujenzi wa Chanzo cha Maji na Kituo cha Tiba ya Maji cha Butimba uliopo Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza wakati alipofika kuweka Jiwe la Msingi leo tarehe 14 Septemba 2022.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akihutubia viongozi ,wafanyazi wa mradi pamoja na wananchi mbalimbali mara baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Chanzo cha Maji na Kituo cha Tiba ya Maji cha Butimba uliopo Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza leo tarehe 14 Septemba 2022.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwa katika Picha ya Pamoja na Viongozi pamoja wafanyazi wa Mamlaka ya Maji Jijini Mwanza mara baada ya kuhitimisha hafla ya uwekaji Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Chanzo cha Maji na Kituo cha Tiba ya Maji cha Butimba uliopo Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza leo tarehe 14 Septemba 2022


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akitoa maelekezo kwa Wizara ya Maji kuhusu ukamilishaji wa Mradi wa Ujenzi wa Chanzo cha na Kituo cha Tiba ya Maji cha Butimba uliopo Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza wakati alipofika kuweka jiwe la msingi katika mradi huo leo tarehe 14 Septemba 2022.

Post a Comment

0 Comments