


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Kaimu Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania Mhe.Rick Shearn alipofika katika Ofisi za Ubalozi wa Uingereza Oysterbay Jijini Dar es Salaam leo 14-9-2022, kusaini kitabu cha maombolezi kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth II wa Uingereza.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akisaini Kitabu cha maombelezi kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth II wa Uingereza, alipofika katika Ofisi za Ubalozi wa Uingereza Oysterbay Jijini Dar es Salaam leo 14-9-2022, na .(Picha na Ikulu) 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Kaimu Balozi wa Uingerza Nchini Tanzania Mhe. Rick Shearn, alipofika Ofisi za Ubalozi wa Uingereza Oysterbay Jijini Dar es Salaam leo 14-9- 2022, kwa ajili ya kusaini Kitabu cha maombolezi kufiatila kifo cha Malkia Elizabeth II wa Uingereza.(Picha na Ikulu) 

MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akisaini kitabu cha maombolezi kufuatikia Kifo cha Malkia Elizabeth II wa Uingereza, alipofika katika Ofisi za Ubalozi wa Uingereza Oysterbay Jijini Dar es Salaam leo 14-9-2022.(Picha na Ikulu)
0 Comments