



MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar (CCM) Rais Mstaaf wa Zanzibar Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na kutowa mkono wa pole kwa Rais Mstaaf wa Tanzania Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi , kwa kufiwa na Mtoto wake Marehemu Hassan Ali Hassan Mwinyi, na (kulia kwa Mzee Mwinyi) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi, alipofika nyumbani kwa Marehemu Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja kutowa mkono wa pole kwa familia ya marehemu leo 4-9-2022.(Picha na Ikulu)
0 Comments