


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (katikati) akimsikiliza Mkurugenzi wa Bodi ya Tume ya Nguvu ya Atomiki Tanzania (TAEC) Prof.Lazaro Simon Petro (wa pili kushoto) alipokuwa akiwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa majukumu ya Tume hiyo katika ukumbi wa Ikulu Jijin Zanzibar leo. [Picha na Ikulu] 12/09/2022.
0 Comments