Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAZIRI WA NORWAY ANAYESHUGHULIKIA MAENDELEO YA KIMATAIFA NA MASUALA YA NORDIC


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri wa Norway anayeshughulikia Maendeleo ya Kimataifa na Masuala ya Nordic Anne Beathe Tvinnereim aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Septemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri wa Norway anayeshughulikia Maendeleo ya Kimataifa na Masuala ya Nordic Anne Beathe Tvinnereim aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Septemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Waziri wa Norway anayeshughulikia Maendeleo ya Kimataifa na Masuala ya Nordic Anne Beathe Tvinnereim zawadi ya picha ya Wanyama wanaopatikana kwenye mbuga za Tanzania mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Septemba, 2022. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri wa Norway anayeshughulikia Maendeleo ya Kimataifa na Masuala ya Nordic Anne Beathe Tvinnereim mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Septemba, 2022.

Post a Comment

0 Comments