Ticker

6/recent/ticker-posts

UZINDUZI WA VITABU VYA WAHADHIRI WA TAASISI YA MAFUNZO YA UANASHERIA KWA VITENDO TANZANIA


Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro, akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa vitabu vya wahadhiri wa Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo Tanzania. Uzinduzi huo umefanyika katika ukumbi wa Taasisi, Jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (wapili kutoka kushoto), akizindua vitabu vilivyoandikwa na wahadhiri wa Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo Tanzania.

Mkuu wa Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo, Mhe. Jaji Dkt. Benhajj Masoud, akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa vitabu vya wahadhiri wa Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo Tanzania. Uzinduzi huo umefanyika katika ukumbi wa Taasisi, Jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya wanafunzi wa sheria waliyohudhuria uzinduzi wa vitabu vya wahadhiri wa Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo Tanzania. Uzinduzi huo umefanyika katika ukumbi wa Taasisi, Jijini Dar es Salaam.

Post a Comment

0 Comments