Ticker

6/recent/ticker-posts

MAKAMU WA RAIS AWASILI MKOANI KAGERA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Philip Mpango leo tarehe 13 Oktoba 2022 akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Bukoba mkoani Kagera. Makamu wa Rais anatarajia kuhudhuria sherehe za kilele cha mbio za Mwenge Kitaifa zitazofanyika mkoani Kagera na kuongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kesho tarehe 14 Oktoba 2022.

Post a Comment

0 Comments