Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA AZINDUA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhe. Profesa Makame Mbarawa pamoja na viongozi wengine wakati akikata utepe kuashiria ufunguzi wa barabara ya Kabingo-Nyakanazi km 50 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami katika hafla fupi iliyofanyika Kakonko Mkoani Kigoma tarehe 16 Oktoba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhe. Profesa Makame Mbarawa mara baada ya hafla ya ufunguzi wa barabara ya Kabingo-Nyakanazi km 50 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kufungua Hospitali ya Wilaya ya Kakonko tarehe 16 Oktoba, 2022


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuzindua skimu ya maji ya Kakonko -kiziguzigu katika hafla iliyofanyika mlima Kanyamfisi Kakonko Mkoani Kigoma tarehe 16 Oktoba, 2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia maji mara baada ya kuzindua skimu ya maji ya Kakonko -Kiziguzigu katika hafla iliyofanyika mlima Kanyamfisi Kakonko Mkoani Kigoma tarehe 16 Oktoba, 2022

Post a Comment

0 Comments