Ticker

6/recent/ticker-posts

MAKAMU WA RAIS KATIKA UFUNGUZI WA JUKWAA LA UWEKEZAJI AFRIKA - ABIDJAN


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Philip Mpango akizungumza na wawekezaji , viongozi wa sekta binafsi na umma , viongozi mbalimbali wa nchi za Afrika pamoja na washiriki wa Jukwaa la Uwekezaji Barani Afrika wakati wa Ufunguzi wa Jukwaa hilo leo tarehe 02 Novemba 2022 Jijini Abidjan nchini Ivory Coast.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Philip Mpango akisikiliza viongozi mbalimbali wakati wakitoa hotuba za ufunguzi katika Jukwaa la Uwekezaji Barani Afrika leo tarehe 02 Novemba 2022 linalofanyika Jijini Abidjan nchini Ivory Coast.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wakuu wa nchi na serikali kutoka baadhi ya mataifa ya Afrika pamoja na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Dr. Akinwumi A. Adesina (watatu kutoka kushoto) mara baada ya kumalizika kwa ufunguzi wa Jukwaa la Uwekezaji Barani Afrika leo tarehe 02 Novemba 2022 linalofanyika Jijini Abidjan nchini Ivory Coast.

Post a Comment

0 Comments