Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA AWASILI BEIJING NCHINI CHINA KWA AJILI YA ZIARA YA KISERIKALI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Peking, Beijing nchini China kwa ajili ya ziara ya Kiserikali tarehe 02 Novemba, 2022

Post a Comment

0 Comments