Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT.HUSSEIN MWINYI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI MDOGO WA UMOJA WA FALMA ZA KIARABU

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Balozi Mdogo wa Umoja wa Falme za Kiarabu anayefanyia Kazi zake Zanzibar (Konseli Mkuu).Mhe.Saleh Ahmed Al Hemeiri, alipofika Ikulu kwa mazungumzo na kujitambulisha leo 21-11-2022, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Balozi Mdogo wa Umoja wa Falme za Kiarabu anayefanyia Kazi zake Zanzibar.(Konseli Mkuu) Mhe.Saleh Ahmed Al Hemeiri, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo 21-11-2022.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments