Ticker

6/recent/ticker-posts

UTEUZI:RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI WA MWENYEKITI WA BODI YA GBT


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Modest Jonathan Mero (Mstaafu) kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Michezo ya Kubahatisha (GBT).

Balozi Mero ni Mkurugenzi wa Bodi ya Kampuni ya African Discovery Group, New York nchini Marekani.

Uteuzi huu unaanza mara moja.

Zuhura Yunus
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu

Post a Comment

0 Comments