Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT.HUSSEIN MWINYI AHUTUBIA MAADHIMISHO YA SIKU YA MAADILI NA HAKI ZA BINADAMU ZANZIBAR.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman, alipowasili katika viwanja vya hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Unguja kwa ajili ya kuhudhuria Maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu, yaliyofanyika leo 16-12-2022 katika ukumbi wa hoteli hiyo.(Picha na Ikulu) VIONGOZI mbalimbali wa Serikali na Wageni waalikwa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia katika Maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu Duniani, zilizoadhimishwa leo 16-12-2022, katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Unguja.(Picha na Ikulu) WASANII wa Kikundi cha Ocean Art Zanzibar wakiingiza mchezo wa kupiga vita vitendo vya Rushwa na Uhujumu wa Uchumi wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu Duniani, zilizoadhimishwa leo 16-12-2022 katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Unguja.(Picha na Ikulu) WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar.Mhe.Haroun Ali Suleiman akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kuhutubia katika Maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadami Duniani, zilizoadhimishwa leo 16-12-2022, katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Unguja.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu ya CD ya Utenzi na Nyimbo za kupiga vita Rushwa na Uhujumu wa Uchumi, na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar .Mhe.Haroun Ali Suleiman, wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu, yaliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Unguja leo 16-12-2022.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman, akisoma maelezo ya TUZO Maalumu ya Kuthamini Mchango wake katika Kupiga Vita Vitendo vya Rushwa na Uhujumu wa Uchumi Zanzibar, kabla ya kumkabidhi wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu, zilizoadhimishwa leo 16-12-2022 katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort Mazizini Unguja.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa TUZO Maalumu ya kuthamini Mchango wake katika Kupiga Vita Vitendo vya Rushwa na Uhujumu wa Uchumi Zanzibar. na Waziri Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman, wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu zilizofanyika katika ukumbi wa wa Zanzibar Beach Resort Mazizini Unguja leo 16-12-2022.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika Maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu, maadhimisho hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Unguja leo 16-12-2022.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments