Ticker

6/recent/ticker-posts

WANAFUNZI WA SHULE ZA MSALALA WAPATIWA ELIMU YA KUJITAMBUA NA KUPINGA VITENDO VYA UKATILI WA KIJINSIA KUPITIA PROGRAM YA BARRICK BULYANHULU

Katika kuadhimisha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia mwaka huu, Barrick iliendesha program mbalimbali za kutoa elimu mashuleni dhidi ya vitendo hivyo ambapo mgodi wa Bulyanhulu kwa kushirikiana na wadau mbalimbali umewezesha elimu hiyo kufikia shule za msingi na sekondari zilizopo katika vitongoji vinavyozunguka mgodi huo.
Wanafunzi wa shule za Bugarama,Buyage,Ibanza na Igwamanoni wamefikiwa na elimu ya kujitambua na kupinga vitendo vya Ukatili wa Kijinsia

Post a Comment

0 Comments