Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT. MWINYI AHUDHURIA TAARAB MAALUM YA MIAKA 59 YA MAPINDUZI


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Waziri wa Habari,Vijana Utamaduni na Michezo Zanzibar.Mhe Tabia Maulid Mwita ,Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais ,Sera,Uratibu na Baraza la Wawakilishi.Mhe.,Hamza Hassan Juma, alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Golden Tulip Uwanja Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B”Unguja kuhudhuria hafla ya Taarab rasmin ya Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar jana usiku 12-1-2023.


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakiwa katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja wakati wa hafla ya Taarab Maalumu ya Maadhimisho ya sherehe za Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrissa Mustafa Kitwana.


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, wakihudhuria Taarab Maalum ya Kikundi cha Taifa kwa ajili ya kuadhimisha sherehe za Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar iliyofanyika jana usiku.12-1-2023.


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakiwa katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, wakati Kikundi cha Taifa cha Taarab Zanzibar kikitowa burudani katika hafla hiyo Msanii Hafidh Abdulsalam akiimba wimbo wa “Walisema Hatuwezi” ikiwa ni Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar iliyofanyika jana usiku 12-1-2023 katika ukumbvi wa hoteli hiyo.


MSANII wa Kikundi cha Taifa cha Taarab Zanzibar Hafidh Abdulsalam akitowa burudani wakati akiimba wimbo wa “Walisema Hatuwezi” wakati wa Taarab Maalum ya kusherehekea Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, iliyofanyika jana usiku 12-1-2023 katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B”Unguja.


MSANII wa Kikundi cha Taifa cha Taarab Zanzibar Sabina Hassan akitowa burudani wakati akiimba wimbo wa “Kama Yalivyonipata” wakati wa Taarab Maalum ya kusherehekea Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, iliyofanyika jana usiku 12-1-2023 katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B”Unguja.


MSANII wa Kikundi cha Taifa cha Taarab Zanzibar.Prof Mohammed IIiyas akitowa burudani wakati akiimba wimbo wa “Hakika Ninakupenda” wakati wa Taarab Maalum ya kusherehekea Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, iliyofanyika jana usiku 12-1-2023 katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B”Unguja.


MSANII wa Kikundi cha Taifa cha Taarab Zanzibar.Bi.Rukia Ramadhani akitowa burudani ya wimbo wa “Mimi na Nae Dam Dam ” wakati wa Taarab Maalum ya kusherehekea Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, iliyofanyika jana usiku 12-1-2023 katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B”Unguja.


MSANII wa Kikundi cha Taifa cha Taarab Zanzibar.Iddi Suweidi Bi.Rukia Ramadhani akitowa burudani ya wimbo wa “Kweli Nnaye ” wakati wa Taarab Maalum ya kusherehekea Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, iliyofanyika jana usiku 12-1-2023 katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B”Unguja.


MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akimtunza Msanii B.Sabah Salum Muchacho wakati akitowa buduradi ya wimbo wa “Mnaminami Viumbe” wakati wa sherehe za Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, iliyofanyika jana usiku 12-1-2023,katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments