



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kulia) na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakipata maelezo kutoka kwa Meneja Biashara za NMB Zanzibar Ndg.Naima Said Shaame (katikati) wakati alipotembelea sehemu mbali mbali za Jengo la Hospitali ya Wilaya ya Micheweni Leo mara baada ya kuifungua rasmi katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kulia)Waziri wa Afya Mhe.Nassor Ahmed Marzui.[Picha na Ikulu] 03/01/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa Hutuba yake leo katika sherehe za Ufunguzi wa Hospitali ya Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba ambayo imejengwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa Fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani IMF, [Picha na Ikulu] 03/01/2023.
Baadhi ya wananchi waliojitokeza katika sherehe za Ufunguzi wa Hospitali ya Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba iliyofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) ambayo imejengwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa Fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani IMF, [Picha na Ikulu] 03/01/2023. 



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kulia) akipokea Vifaa huduma za Afya kutoka kwa Uongozi wa Benki ya NMB vikiwemo viti vya magurudumu na vyegngine mbbali mbali wakati alipotembelea sehemu mbali mbali za Jengo la Hospitali ya Wilaya ya Micheweni Leo mara baada ya kuifungua rasmi leo katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kulia) Mke wa Rais Mama Mariam Mwinyi.[Picha na Ikulu] 03/01/2023.
0 Comments