Ticker

6/recent/ticker-posts

UFUNGUZI WA SKULI YA SEKONDARI YA SALUM TURKY ZANZIBAR.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akikata utepe kuifungua rasmi Skuli mpya ya Sekondari ya Salum Tuky kwa-Binti Amran,iliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa fedha Uviko 19 kupitia shirika la Fedha Duniani IMF,hafla iliyofanyika leo katika sherehe za shamra shamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, wengine walioshuhudia,Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Lela Muhamed Mussa(kushoto)Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla (wa pili kulia) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Maghari Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa(kulia) .[Picha na Ikulu] 06/01/2023.

wanafunzi waliofika katika Chumba cha maktaba kujisomea vitabu mbali mbali kama walivyokutwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Ujumbe wake (hawapo pichani) wakati alipotembelea baada ya kuifungua rasmi Skuli mpya ya Sekondari ya Salum Tuky kwa-Binti Amran katika sherehe za shamra shamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, iliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha Uviko 19 kupitia shirika la Fedha Duniani IMF.[Picha na Ikulu] 06/01/2023.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwiyi wakipokea shada la mauwa wakati alipowasili kuifungua rasmi Skuli mpya ya Sekondari ya Salum Tuky kwa-Binti Amran katika sherehe za shamra shamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, iliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha Uviko 19 kupitia shirika la Fedha Duniani IMF.[Picha na Ikulu] 06/01/2023.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwiyi,(kushoto)akiwepo Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Lela Muhamed Mussa na Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Ndg. Khamis Abdulla Said wakati mwanafunzi Abdul Aziz Sleiman Ali wa darasa la 7 alipowa karibisha katika Chumba cha Maktaba wakati alipotembelea baada ya kuifungua rasmi Skuli mpya ya Sekondari ya Salum Tuky kwa-Binti Amran katika sherehe za shamra shamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, iliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha Uviko 19 kupitia shirika la Fedha Duniani IMF.[Picha na Ikulu] 06/01/2023.

Post a Comment

0 Comments