Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi amemteua Charles Hilary kuwa Msemaji Mkuu wa Serikali. Charles Hilary ni Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano - Ikulu, Zanzibar.

Charles Hilary

Na Mwandishi wetu- Tabora Zaidi ya wagonjwa 410 wamepata matibabu ya kibingwa na kibob…
Read more
0 Comments