Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT.MWINYI ATEMELEA MADUKA PEMBA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akizungumza na Bw.Suleiman Ali Abdalla (kulia) Mfanyabiashara wa Duka la Chakula na bidhaa mbali mbali kujua bei halisi hasa Chakula Kikuu kwa wananchi wakati alipotembela Soko Kuu la Chake chake Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba leo alipofanya ziara maalum.[Picha na Ikulu] 12/02/2023.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akizungumza na Wananchi wa Mtaa wa Machomanne,Chakechake mara baada ya kuangalia bei za Bidhaa ya Mchele katika maduka mbali mbali katika mtaa huo alipofanya ziara maalum ya kutembea maduka katika Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba leo. [Picha na Ikulu] 12/02/2023.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiwa katika duka la Bw. Ali Hamad (katikati) kuangalia bei za bidhaa mbali mbali za Chakula wakati alipotembela Maduka ya Macho manne Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba leo alipofanya ziara maalum.[Picha na Ikulu] 12/02/2023.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiangalia Mchele katika duka la Bw. Ali Hamad (katikati) alipofanya ziara maalum ya kutembea maduka ya Machomanne Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba leo pamoja na bidhaa mbali mbali za Chakula,sambamba na Agizo lililotolewa na Serikali kuwataka Wafanyabiashara kupunguza bei ili kuwapungumzia Mzigo Wananchi. [Picha na Ikulu] 12/02/2023.

Post a Comment

0 Comments