Ticker

6/recent/ticker-posts

KINANA AKUTANA NA MABALOZI WA URUSI NA MOROCCO NCHINI TANZANIA, LUMUMBA JIJINI DAR ES SALAAM,LEO MACHI 23, 2023.

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi wa Balozi wa Urusi Mhe. Andrey Avetisyan (kushoto) katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba, jijini Dar es Salaam.

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, akizungumza na Balozi wa Urusi Nchini Tanzania Mhe. Andrey Avetisyan, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Jijini Dar es Salaam, leo. (Picha na Fahadi Siraji /CCM)
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, akimsindikiza wa Balozi wa Urusi Nchini Tanzania Mhe. Andrey Avetisyan, mara baada ya mazungumzo yao leo Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Jijini Dar es Salaam,.

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi wa Morocco Nchini Tanzania Mhe.Zakaria El Goumiri (kushoto) katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba, jijini Dar es Salaam.

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, akizungumza na Balozi wa Morocco Nchini Tanzania Mhe.Zakaria El Goumiri (kushoto) pamoja na Ujumbe alioambatana nao katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba, jijini Dar es Salaam. (Picha Zote na Fahadi Siraji /CCM)

Post a Comment

0 Comments