Ticker

6/recent/ticker-posts

MERIDIANBET YASHIKANA MIKONO NA POLISI KAWE



Meridianbet katika harakati zake za kuhakikisha jamii yake inanufaika na kile ambacho wamekua wakikitengeneza wamefika katika kituo cha Polisi Kawe jijini Dar-es-salaam na kutoa vifaa kwa jeshi la polisi kituoni hapo moja ya vifaa hivyo ni Reflector kwa polisi wanaosimamia usalama barabarani Reflector hizo zilipokelewa na Reflector hizo zikipokelewa na mkuu wa kitengo hicho SP-Shatta OCD ndiye aliyepokea vifaa hivyo.

Meridianbet huamua kurudisha kwenye jamii yake kwa kile kidogo ambacho wanakua wamekusanya kwakua wanatambua fika mchango wao unahitajika katika jamiii, Huku leo wakiangazia kituo cha polisi Kawe jijini Dar-es-salaam.


Baada ya kupokea Reflector hizo ASP Rose Maira amesema; "Niwashukuru wenzetu wa Meridianbet kwa kutuletea msaada huu utakaosaidia Askari katika kutimiza majukumu yao bila uoga hata usiku kwa sababu watakua wanaonekana, katika kuelekea kilele cha wiki ya nenda kwa usalama barabarani msaada huu umekuja muda muafaka".

Mkuu wa kitengo cha Masoko na mawasiliano Meridianbet Martina Nkurlu amesema kuwa “Tulikuja wiki iliyopita hapa kutoa Reflector kwa bodaboda lakini tukaona hata Askari wetu wa usalama barabarani wana changamoto hii, leo tukaamua na wao kuwaletea vifaa hivi tukiamini katika juhudi zao za kulinda usalama barabarani katika Serikali hii ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania”

Meridianbet wababe wa odds kubwa na kasino mitandaoni waliwatembelea jeshi la Polisi Kawe na kuwapa Reflector kwaajili ya matumizi yao wakiwa barabarani.

Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.



Post a Comment

0 Comments