Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT.HUSSEIN MWINYI ATEMBELEA RAIS MSTAAFU WA ZANZIBAR DKT.SALMIN AMOUR JUMA NYUMBANI KWAKE MIGOMBANI

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Salmin Amour Juma, alipofika nyumbani kwake Migombani Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar kwa kumsalimia na kumjulia hali yake.(Picha na Ikulu).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsalimia Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Salmin Amour Juma lipofika nyumbani kwake Migombani Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar kumsalimia na kumjulia hali yake, (kulia kwa Rais) Mtoto wa Dkt. Salmin Bw. Amini Salmin Amour.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments