Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT.HUSSEIN MWINYI AZINDUA MPANGO MKAKATI WA ZMBF NA MRADI WA TUMAINI KIT


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhi TUZO maalum na Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, wakati wa Uzinduzi wa Mpango Mkakati wa ZMBF na Uzinduzi wa Mradi wa Tumaini Kit, katika Mkutano wa Maadhimisho ya Mwaka Mmoja wa Taasisi ya (ZMBF) uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 20-3-2023.(Picha na Ikulu)


MWENYEKITI wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akizundua Mradi wa Tumaini Kit, uzinduzi huo uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B”Unguja leo,20-3-2023 na (kulia) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Hussein Ali Mwinyi akishuhudia uzinduzi huo.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungua Mpango Mkakati wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZBMF) uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 20-3-2023, (kulia) Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Fondation (ZMBF) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maria Mwinyi na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrissa Mustafa Kitwana na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisin ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.Mhe. Masoud Ali Mohammed.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments