Ticker

6/recent/ticker-posts

MAAFISA TEHAMA HOSPITALI YA RUFAA YA BOMBO WAPEWA MAFUNZO YA UBORESHAJI WA MAZINGIRA YA MTOA HUDUMA

Mkuu wa Idara ya Udhibiti Ubora wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga (Bombo ) Joseph Nzige akitoa mafunzo ya uboreshaji wa mazingira ya mtoa huduma kwa dhana ya 5S-KAIZEN kwa Maafisa Tehama wa Hospitali hiyo,Picha na Hospitali ya Rufaa ya Bombo.

Mkuu wa Idara ya Tehama wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga -Bombo William Masika wa kwanza kulia akiwa na maafisa tehama wengine wakifuatilia mafunzo hayo

Sehemu ya washiriki wa mafunzo hayo wakifuatilia kwa umakini

Post a Comment

0 Comments