Ticker

6/recent/ticker-posts

SPIKA DKT. TULIA AFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI MKUU WA KAMPUNI YA SIGARA TANZANIA (TCC)

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Sigara Tanzania (TCC), Ndg. Takashi Araki alipomtembelea ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Kulia ni Mkurugenzi wa Mahusiano wa TCC, Ndg. Patricia Mhando
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Sigara Tanzania (TCC), Ndg. Takashi Araki baada ya mazungumzo yaliyofanyika ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Post a Comment

0 Comments