Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT.HUSSEIN MWINYI AZUNGUMZA NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI NA WAANDISHI WA HABARI

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari na Waandishi katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 29-4-2023, ikiwa ni kawaida yake kila mwisho wa mwezi kuzungumza na Waandishi wa habari mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)
WAANDISHI wa Habari wa Vyombo mbalimbali vya habari vilioko Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kujibu maswali yaliyoulizwa na Waandishi, wakati wa mkutano wake wa kila mwisho wa mwezi kuzungumza na Waandishi, mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 29-4-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waandishi wa Habari na Wahariri wa Vyombo vya Habari mbalimbali katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, ikiwa ni kawaida yake kuzungumza na Waandishi kila mwisho wa mwezi, mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 29-2023 na (kulia kwa Rais) Wakuu wa vyombo vya habari Zanzibar.(Picha na Ikulu)
WAKUU wa Vyombo vya Habari Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa mkutano wake na Waandishi wa habari na Wahariri wa vyombo vya Habari, uliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 29-4-2023.(Picha na Ikulu)
MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC) Ndg. Ramadhan A Bukini akizungumza wakati wa mkutano wa Wahariri na Waandishi wa vyombo vya habari na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, uliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 29-4-2023.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments