Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA AMTUMBUA MKURUGENZI WA JIJI LA MWANZA

  Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu hassan ametengua Uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya jiji la Mwanza Bw. Sekkie Yahaya Selemani kuanzia tarehe 16 April 2023.
Post a Comment

0 Comments