Ticker

6/recent/ticker-posts

AWESU ARUDI MTAANI KWAO NA KUTOA MSAADAMtaa umetoa watu wengi sana, mastaa ni wengi lakini sio kila mtu aliyefanikiwa hurudi kuishukuru jamii yake, kwa upande huo huwezi kuacha kumzungumzia Awesu Awesu mchezaji wa KMC FC aliyeshirikiana na Meridianbet mabingwa wa kasino ya mtandaoni na odds kubwa kutoa msaada wa Chakula kwenye mtaa aliozaliwa na kukulia, Meridianbet walimpa Challenge ya kupiga penati 5 kila moja zawadi yake ni 1,000,000/= TZS alipata zote na kujinyakulia mkwanja ambao aliutoa kama msaada mtaani kwake.

Mchezaji Awesu Awesu aliambatana na Meridianbet wakali wa odds kubwa na kasino ya mtandaoni walifika mtaani kwa mchezaji huyo Magomeni ambapo ni sehemu alipokulia na kukuzwa waliweza kutoa msaada wa vifaa mbalimbali kwa watu wasiojiweza kama Mafuta ya kupikia, Sukari, Mchele, Sabuni, pamoja na vifaa vya kufanyia usafi.

Akiongea na wanahabari Awesu Awesu alisema “Kwanza ninamshukuru Mungu kwa kuniwezesha kufika hapa leo, Lakini kubwa zaidi nawashukuru wadhamini wa timu ninayoitumiikia kwani imekua faraja kuifikia siku hii na kuweza kutoa msaada kwa jamii yangu iliyonikuza na kunilea nawashukuru sana Meridianbet kwa namna wanavyohakikisha wanarudisha kwa jamii hata kile kidogo wanachopata”

Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Mkuu wa kitengo cha mawasiliano na masoko kutoka Meridianbet Matina Nkurlu pia alipata nafasi ya kuzungumza “Hiki kilichofanywa na Awesu ni uungwana kwa maana ya tafsiri ya Uungwana ni pamoja na kujali njia ulizopita na kuzipa faraja.

Jisajili Meridianbet upate mizunguko 50 ya bure kucheza kasino ya mtandaoni, jisajili leo ushinde mtonyo mrefu, twende kazi.

“Leo Meridianbet tukishirikiana na Awesu Awesu kuzipa faraja familia na wakazi wa Magomeni alipoishi Awesu hadi kufikia ndoto zake, Na kesho huenda akawa mtu mwingine mkubwa akafikia jamii yake kupitia sisi, Hivo basi tunaahidi huu utakua mwendelezo kutoka Meridianbet kwa kshirikiana na klabu ya KMC FC kurudisha kwenye jamii” Alisema Matina Nkurlu

Lakini pia waliopokea msaada hawakua nyuma katika kushukuru kile kilichofanywa na Awesu Awesu kwa kushirikiana na Meridianbet na kusema wamefurahishwa sana na kilichofanywa na kijana wao kuweza kuwakumbuka na kuwapa msaada, Vilevile wakitoa shukrani kwa Meridianbet na kusema wao ni mfano wa kuigwa kwani wamekua wakirudisha kwenye jamii kila inapowezekana.

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

Post a Comment

0 Comments