Ticker

6/recent/ticker-posts

MAADHIMISHO YA KILELE CHA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI MEI MOSI 2023 VIWANJA VYA NUNGWI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Zawadi ya Mfanyakazi Bora Ndg. Taifa Said Ahmed M/Mkuu Skuli ya Turky Chama cha ZATU katika maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani Mei Mosi 2023, zilizofanyika leo Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja(kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji Mhe.Mudrik Ramadhan Soraga .[Picha na Ikulu] 01/5/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Ngao na Cheti Ndg. Ramadhan Juma Suleiman Zssf Chama cha wafanyakazi ZAFICOWU katika maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani Mei Mosi 2023, zilizofanyika leo Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja(kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji Mhe.Mudrik Ramadhan Soraga (kulia) Makamo Mwenyekiti Shrikisho la Vyama vya Wafanyakazi Zatuc.[Picha na Ikulu] 01/5/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake katika Kilele cha Maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani Mei Mosi 2023,sherehe zilizofanyika leo Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja,ambapo Wafanyakazi kutoka taasisi mbali mbali na Mashirika wamehudhuria(kushoto) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemedi Suleiman Abdulla na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji Mhe.Mudrik Ramadhan Soraga .[Picha na Ikulu] 01/5/2023.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati pichani) pamoja na Viongozi wengine wakiimba wimbo wa mshikamano katika Kilele cha Maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani Mei Mosi 2023,sherehe zilizofanyika leo Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja.[Picha na Ikulu] 01/5/2023.

Wananchi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake katika Kilele cha Maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani Mei Mosi 2023,sherehe zilizofanyika leo Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja.[Picha na Ikulu] 01/5/2023.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea Maandamano ya wafanyakazi katika Kilele cha Maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani Mei Mosi 2023,sherehe zilizofanyika leo Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja(kulia) Kaimu Katibu Mkuu ZATU Ndg,Ali Salum na Mkuu wa Mkoa wa kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohamed Mahmoud .[Picha na Ikulu] 01/5/2023.
Wafanyakazi wa Wizara mbali mbali na Mashirika ya Serikali wakipita mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika Maandamano ya wafanyakazi katika Kilele cha Maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani Mei Mosi 2023,sherehe zilizofanyika leo Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja.[Picha na Ikulu] 01/5/2023.

Post a Comment

0 Comments