Ticker

6/recent/ticker-posts

MABIBO BOYS WAPOKEA VIFAA VYA MICHEZO KUTOKA MERIDIANBET**********

Mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet wamefika Mabibo kwajili ya kutoa msaada wa vifaa vya michezo kwa timu ya mpira wa miguu ya Mabibo Boys ambapo walifanikiwa kutoa mipira na jezi ambazo zitakua sehemu ya kuongeza chachu katika mapambano ya timu hiyo.

Meridianbet wamekua wakirudisha kwenye jamii mara kwa mara kila ambapo wanakua wanahisi jamii fulani ina uhitaji wa jambo fulani, Huku wakati hii fursa iliangukia kwa Mabibo Boys ambao wamepokea vifaa hivo vya michezo ambavyo vitawasaidia katika mazoezi na michezo yao.

Meridianbet wanaendelea kurudisha kwa jamii kila siku kwani kufanya hivyo ni kuwajali vijana hasa katika soka. Meridianbet “CHAGUA TUKUPE”.

Sub-Heading:

Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hii

Bwana Matina Nkurlu alisema kuwa Meridianbet iliamua kuwafikia Mabibo Boys kwasababu,

“Meridianbet tunaamini michezo ni Afya na ni Ajira hivyo kuwapa vifaa vya michezo ndugu zetu wa Mabibo Boys ni katika kuhakikisha vijana hawa wanakua na afya njema lakini pia kupata ajira kupitia michezo, na tunatoa wito kwa makampuni mengine kushiri kikamilifu kuvisaidia hivi vituo vidogo vya michezo ili kuzalisha watu wengi wenye mafanikio kwenye michezo”

Vilevile baada ya kupokea vifaa hivyo michezo katibu wa timu ya Mabibo Boys alisema “Kiukweli msaada huu umekuja wakati sahihi kabisa kwakua timu yetu ilikua na uhitaji mkubwa wa vifaa vya michezo na mipira hivyo hii itakua ni sehemu ya kutatua changamoto za timu kuelekea kwenye mashindano 

Meridianbet imekua na utaratibu wa kutoa misaada katika sehemu mbalimbali bila kujali tasnia hii imekua ni kawaida kwao pale ambapo wataona jamii ina uhitaji wao wamekua mstari wa mbele kuhakikisha wanatoa msaada katika eneo hilo.

Pia Meridianbet imeleta mchongo wa hela kila siku. Kuna hii bonasi ya ukaribisho kwa wateja wapya wote wanapata Tsh 25,000/= ya kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Ingia mchezoni www.meridianbet.co.tz

Basi nakwambiaje pesa zipo hapa Meridianbet kama hujajiunga huu ndio muda sasa ingia na uweze kupata hiyo bonasi na ubashiri mechi zako kadhaa unazoamini kuwa zitakupa ushindi ndani ya Mabingwa wa ODDS KUBWA.

Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni. 

Kampuni zingine ziige mfano kutoka Meridianbet kwakurudisha kwa jamii kwani kuwaunga mkono vijana hasa katika soka itasaidia sana kuleta chachu ya maendeleo katika sekta ya michezo kwani vijana ndio Taifa la leo.

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette

Post a Comment

0 Comments