Ticker

6/recent/ticker-posts

MAKAMU MWENYEKITI WA CCM ZANZIBAR ATEMBELEA MALI ZA CHAMA WILAYA YA MJINI KICHAMA

Makamo Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akitoa nasaha zake kwa Vijana UVCCM na Wanachama wa CCM,Gymkana Zanzibar leo mara baada ya kutembelea mali za CCM Wilaya ya Mjini Kichama, Mkoa Mjini Magharibi, wengine (kutoka kulia) Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa,Mjumbe wa Halamashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Vuai Ali Vuai na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Mhe.Dkt Mohamed Said Mohamed (Dimwa). [Picha na Ikulu] 14/05/2023.
Baadhi ya Vijana na Wanachama wa CCM wakimsikiliza Makamo Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akitoa nasaha zake huko Gymkana Zanzibar mara baada ya kutembelea mali za CCM Wilaya ya Mjini Kichama, Mkoa Mjini Magharibi leo. [Picha na Ikulu] 14/05/2023.
Makamo Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Naibu Katibu Mkuu UVCCM Zanzibar Ndg.Mussa Haji Mussa (wa pili kushoto) wakati alipotembea Jengo la UVCCM Chipukizi Gymkana Zanzibar akiwa katika ziara ya kutembelea mali za CCM Wilaya ya Mjini Kichama, Mkoa Mjini Magharibi (kulia) Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Mhe.Dkt Mohamed Said Mohamed (Dimwa)na Makamo Mwenyekiti Jumuiya ya Wazazi Taifa Dogo Iddi Mabrouk(kushoto). [Picha na Ikulu] 14/05/2023.
Makamo Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Naibu Katibu Mkuu UVCCM Zanzibar Ndg.Mussa Haji Mussa (katikati mwenye kipaza sauti) wakati alipotemebea jengo ya Umoja wa Vijana UVCCM Darajani wakati akiwa katika ziara ya kutembelea Mali za CCM Wilaya ya Mjini Kichama, Mkoa Mjini Magharibi leo.[Picha na Ikulu] 14/05/2023.
Naibu Waziri wa Elimu na Mfunzo ya Amali pia Mwakilishi wa CCM Mhe.Ali Abduligulam Hussein(kushoto) alipokuwa akitoa maelezo kwa Makamo Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) wakati akiendelea na Ziara ya kuangalia mali za Chama cha Mapinduzi katika Maeneo ya Kijangwani Posta leo,Wilaya ya Mjini Kichama, Mkoa wa Mjini Mgaharibi (kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Mhe.Dkt Mohamed Said Mohamed (Dimwa).[Picha na Ikulu] 14/05/2023.

Makamo Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Katibu wa CCM Wilaya ya Mjini Ndg.Aboud Mpate (kushoto) wakati alipotemebea maeneo ya Kijangwani Posta kuangalia sehemu za biashara za Chakula wakati akitembelea mali za CCM Wilaya ya Mjini Kichama, Mkoa Mjini Magharibi (katikati) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Mhe.Dkt Mohamed Said Mohamed (Dimwa).[Picha na Ikulu] 14/05/2023.

Post a Comment

0 Comments