Ticker

6/recent/ticker-posts

MAKAMU WA RAIS AZINDUA BARABARA YA WASSO - SALE KM 49

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiweka jiwe la msingi uzinduzi wa barabara ya Wasso – Sale yenye kilometa 49 wakati akiwa ziarani katika Wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha leo tarehe 17 Mei 2023.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akikata utepe kuashiria uzinduzi wa barabara ya Wasso – Sale yenye kilometa 49 wakati akiwa ziarani katika Wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha leo tarehe 17 Mei 2023.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akizungumza na wakazi wa eneo la Sale wakati wa uzinduzi wa barabara ya Wasso – Sale yenye kilometa 49 wakati akiwa ziarani katika Wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha leo tarehe 17 Mei 2023.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akikabidhiwa zawadi ya mbuzi kwaajili yake na Rais Samia Suluhu Hassan kutoka kwa wananchi wa Sale mara baada ya kuzindua barabara ya Wasso – Sale yenye kilometa 49 wakati akiwa ziarani katika Wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha leo tarehe 17 Mei 2023.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akikabidhiwa mavazi ya kiongozi wa kabila la wasonjo wakati wa uzinduzi wa barabara ya Wasso – Sale yenye kilometa 49 wakati akiwa ziarani katika Wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha leo tarehe 17 Mei 2023.

Post a Comment

0 Comments