Ticker

6/recent/ticker-posts

MATUKIO YA WAZIRI MKUU BUNGENI DODOMA MEI 2, 2023

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Lushoto, Shabani Shekilindi. bungeni jijini Dodoma, Mei 2, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum Zanzibar, Mwanahamisi Kassim, bungeni jijini Dodoma, Mei 2, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Peramiho na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu, Jenista Mhagama, bungeni jijini Dodoma, Mei 2, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mlalo, Rashid Shangazi, bungeni jijini Dodoma, Mei 2, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Post a Comment

0 Comments