Ticker

6/recent/ticker-posts

VANDEBROUK AANZA KAZI WYDAD CASABLANCA

EMMANUEL  MBATILO

KLABU ya Wydad Casablanca imemuajiri aliyekuwa kocha wa timu ya Simba Sc 2019-2020 Sven Vandebrouk kufuatia kufukuzwa kwa aliyekuwa kocha mkuu wa klabu hiyo Juan Carlos Garrido ikiwa ni miezi miwili tu tangu apewe kibarua cha kukinoa kikosi hicho.

Mabingwa hao Lahore wa Morocco imeamua mabadiliko ya benchi la ufundi baada ya kutoridhishwa na matokeo ya timu katika siku za hivi karibuni.

Ikumbukwe Wydad Casablanca imetinga hatua ya nusu fainali Ligi ya Mabingwa barani Afrika (CAF CL) baada ya kuiondoa Simba Sc kwenye hatua hiyo.

Post a Comment

0 Comments