Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT.MWINYI AZINDUA KAMATI YA KUZUIA UDHALILISHAJI WA KIJINSIA ZANZIBAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuzindua Kamati ya Kuzuia Udhalilishaji wa Kijinsia Zanzibar (kushoto ) Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar Mhe.Mgeni Jailani Jecha na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Sheria, Katiba,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, akikabidhiwa Kitabu cha Hadidu Rejea, Kanuni, na Mpango Kazi wa Kamati ya Kuzuia Udhalilishwa Kijinsia Zanzibar, akikabidhiwa na Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar Mhe. Mwanamkaa Abdulrahman Mohammed na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar Mhe. Mgeni Jailani Jecha na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Sheria,Katiba,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman, uzinduzi huo uliyofanyika leo 1-6-2023 katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, akikabidhiwa Kitabu cha Hadidu Rejea, Kanuni, na Mpango Kazi wa Kamati ya Kuzuia Udhalilishwa Kijinsia Zanzibar, akikabidhiwa na Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar Mhe. Mwanamkaa Abdulrahman Mohammed na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar Mhe. Mgeni Jailani Jecha, uzinduzi huo uliyofanyika leo 1-6-2023 katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
BAADHI ya Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar na Viongozi wa Serikali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya uzinduzi wa Kamati ya Kuzuia Udhalilishaji wa Kijinsia Zanzibar, uzinduzi huo uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh.Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 1-6-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Kamati ya Kuzuia Udhalilishaji wa Kijinsia Zanzibar, uzinduzi huo uliofanyika leo 1-6-2023 katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria, Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman, akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kuzungumza na kuizindua Kamati ya Kuzuia Udhalilishaji wa Kijinsia Zanzibar, uzinduzi huo uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 1-6-2023.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments