RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Baraza la Wazee wa Bweleo Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, ukiongozwa na Mwenyekiti wa Baraza hilo Bw. Muhidin Khamis Omar (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 1-6-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na Ujumbe wa Baraza la Wazee wa Bweleo Wilaya ya Magharibi “B” Unguja ukiongozwa na Mwenyekiti wa Baraza hilo Bw.Muhidin Khamis Omar (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 1-6-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Kitabu Kinachozungumzia Historia ya Kijiji cha Bweleo, akikabidhiwa na Mzee wa Kijiji hicho Bw.Shaban Khamis Ali, wakati wa mazungumzo yake na Ujumbe wa Baraza la Wazee wa Bweleo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 1-6-2023.(Picha na Ikulu)
0 Comments