Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT. MWINYI AZUNGUMZA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI UTURUKI IKULU ZANZIBAR,

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha na pamoja na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Uturuki Mhe. Iddi Seif Bakari, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.11-7-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Balozi wa Tanzania Nchini Uturuki Mhe. Iddi Seif Bakari, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 11-7-2023.(Picha na Ikulu)’

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Uturuki Mhe.Iddi Seif Bakari (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kuja kumuaga akielekea katika Kituo chake cha Kazi Nchini Uturuki, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 11-7-2023.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments