Ticker

6/recent/ticker-posts

WAZIRI JAFO ASHIRIKI KIPINDI CHA BARAZA CHA ZBC


Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dkt. Selemani Jafo akipata maelezo kuhusu utendaji kazi wa kamera ya kurekodi matukio ya habari wakati alipofika kushiriki kipindi cha mahojiano ya moja cha Baraza kinachorushwa na Kituo cha Utangazaji cha Televisheni cha Shirika hilo kilichopo eneo la Mnazimmoja Zanzibar Julai 10, 2023. Anayetoa maelezo ni Mhandisi wa ZBC Bw, Mahmoud Hamza.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dkt. Selemani Jafo akitazama mfumo wa urushaji wa matangazo ya televisheni katika Shirika la Utangazaji Zanzibar wakati alipofika kushiriki kipindi cha mahojiano ya moja kwa moja cha Baraza kinachorushwa na Kituo cha Utangazaji cha Televisheni cha Shirika hilo kilichopo eneo la Mnazimmoja Zanzibar Julai 10, 2023. Anayetoa maelezo ni Mhandisi wa ZBC Bw, Mahmoud Hamza.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akipokelewa na Mkurugenzi wa Habari na Matukio wa Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC), Bw. Salum Ramadhani Abdallah Julai 10, 2023 wakati alipokwenda kushiriki kipindi cha moja kwa moja cha Baraza kinachorushwa na Kituo cha Utangazaji cha Televisheni cha Shirika hilo kilichopo eneo la Mnazimmoja Zanzibar.

(PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS)

Post a Comment

0 Comments