Ticker

6/recent/ticker-posts

MAKAMU WA RAIS AFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU WA RAIS WA UGANDA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akimkabidhi zawadi ya picha ya Hifadhi ya Taifa Kitulo Makamu wa Rais wa Uganda Mhe. Jessica Alupo mara baada ya mazungumzo yao yaliofanyika kando ya Mkutano wa Pili wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi 25 za Afrika Wanachama Wazalishaji wa Zao la Kahawa unaofanyika Kampala nchini Uganda.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akikabidhiwa zawadi na Makamu wa Rais wa Uganda Mhe. Jessica Alupo mara baada ya mazungumzo yao yaliofanyika kando ya Mkutano wa Pili wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi 25 za Afrika Wanachama Wazalishaji wa Zao la Kahawa unaofanyika Kampala nchini Uganda.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Uganda Mhe. Jessica Alupo, mazungumzo yaliofanyika kando ya Mkutano wa Pili wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi 25 za Afrika Wanachama Wazalishaji wa Zao la Kahawa unaofanyika Kampala nchini Uganda.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Makamu wa Rais wa Uganda Jessica Alupo kabla ya mazungumzo yao yaliofanyika kando ya Mkutano wa wa Pili wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi 25 za Afrika Wanachama Wazalishaji wa Zao la Kahawa unaofanyika Kampala nchini Uganda.

Post a Comment

0 Comments