Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT.MWINYI AZUNGUMZA NA WENYEVITI WA CCM MIKOA YA TANZANIA BARA NA ZANZIBAR IKULU ZANZIBAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar.Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na wageni wake Ujumbe wa Wenyeviti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Mikoa ya Tanzania Bara na Zanzibar, ukiongozwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tabora Ndg.Hassan Wakasuvi, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kumsalimia , mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 30-8-2023.(Picha na Ikulu)
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akiagana na Wenyeviti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Mikoa wa Zanzibar na Tanzania Bara,baada ya kumaliza mazungumzo walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kumsalimia leo 30-8-2023.(Picha na Ikulu)
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akimsikiliza Kiongozi wa Wenyeviti, Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tabora Ndg.Hassan Wakasuvi, akizungumza na kutowa salamu za Wenyeviti wa CCM, wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, walipofika kwa ajili ya mazungumzo na kumsalimia leo 30-8-2023.(Picha na Ikulu)
WENYEVITI wa Mikoa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Mikoa ya Tanzania Bara na Zanzibar, wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza, wakati wa mazungumzo yake na Ujumbe huo ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kumsalimia.mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 30-8-2023.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments