Ticker

6/recent/ticker-posts

SPIKA DKT. TULIA AFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI MKUU CRDB

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Ndg. Abdulmajid Nsekela katika Ofisi ndogo za Bunge zilizopo Jijini Dar es Salaam leo tarehe 23 Agosti, 2023.


Post a Comment

0 Comments