



BAADHI ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza katika Mkutano wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Barani Afrika kwa mwaka 2023,uliofanyika katika ukumbi wa Ruaha Kituo cha jingo la Mikutano ya Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe. Hailemariam Desalegn baada ya kumalizika kwa Mkutano wa Jukwaa la Mifuko ya Chakula Barani Afrika, uliyofanyika katika ukumbi wa Ruaha Kituo cha Jengo la Kituo cha Mikutano ya Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo 7-9-2023.(Picha na Ikulu)

0 Comments