Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na Sheikh Salum Mardhia baada ya kumalizika kwa ibada ya Sala ya Ijumaa Leo katika masjid Jamiuu Zinjibar Mazizini Mkoa wa Mjini Magharibi. [Picha na Ikulu] 29/09/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Balozi Mdogo wa Oman hapa Zanzibar Mhe.Said Salim Al Sinawi pamoja na Viongozi wengine wakati alipowasili katika Masjid Jamiuu Zinjibar Mkoa wa Mjini Magharibi leo kushiriki katika Swala ya Ijumaa. [Picha na Ikulu] 29/09/2023.
0 Comments